Aksaray

Aksaray kama jinsi inavyoonekana katika eneo lenye rangi ya njano.

Aksaray ni mji uliopo Anatolia ya Kati nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Aksaray. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi waishio katika wilaya hiyo ni 236,560 ambao wengine 129,949 wanaishi katika mji wa Aksaray.[1][2] Wilaya imechukua eneo la km 4,589 (na 1,772 sq mi),[3] na wastani wa mapolomoko ni m 980 (na ft 3,215), na kilele kirefu cha Mlima Hasan mnamo 3,253 m (na ft 10,673).

Maelezo

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aksaray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/11/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.