Bilecik

Katikati ya jiji la Bilecik.

Bilecik ni mji mkuu wa Mkoa wa Bilecik katika nchi ya Uturuki.[1]

Ukiwa sambamba kabisa na na wilaya zake mji huu ni mashuhuri sana kwa kuwa hapa ndipo alipozaliwa Osmani Dynasty, ambao ni wanachama na waanzilishi wa Dola la Osmani.

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bilecik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/9/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.