Mbuzi

Mbuzi

Mbuzi-mwitu
(Capra aegagrus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Caprinae (Wanyama wanaofanana na mbuzi)
Ngazi za chini

Jenasi 13:

Ammotragus (Kondoo wa Barbari) Blyth, 1840
Arabitragus (Mbuzi Arabu) Ropiquet & Hassanin, 2005
Budorcas (Kondoo wa Himalaya) Hodgson, 1850
Capra (Mbuzi wa kweli) Linnaeus, 1758
Capricornis Ogilby, 1836
Hemitragus (C. H. Smith, 1826)
Naemorhedus (Goral) C. H. Smith, 1827
Nilgiritragus (Mbuzi wa Nilgiri) Ropiquet & Hassanin, 2005
Oreamnos (Mbuzi-milima wa Marekani) Rafinesque, 1817
Ovibos (Maksai aktiki) de Blainville, 1816
Ovis (Kondoo wa kweli) Linnaeus, 1758
Pseudois (Kondoo buluu) Hodgson, 1846
Rupicapra (Mbuzi-miamba) de Blainville, 1816

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbuzi ni wanyama wakubwa kiasi wa nusufamilia Caprinae katika familia Bovidae.

Spishi kadhaa huitwa kondoo lakini kwa kiuainisho hakuna tofauti kuu kati ya makundi haya.

Spishi zote za porini zina pembe kichwani, madume na majike, lakini kuna aina za mbuzi-kaya na kondoo-kaya ambazo hazina pembe.

Spishi za mbuzi zinaweza kugawanywa katika aina mbili zenye mienendo tofauti. Spishi za aina moja huishi kwa makundi madogo na hulinda eneo dogo kiasi lenye chakula kingi dhidi ya wana wa spishi zao zenyewe. Spishi hizi zina pembe kali. Spishi za aina nyingine huishi kwa makundi makubwa katika maeneo makubwa yenye chakula kichache au cha sifa duni. Spishi hizi huwekea eneo lao alama kutoka matezi ya harufu.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Jenasi za kabla ya historia[1][2]

Marejeo

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

This article is issued from Wikipedia - version of the 11/11/2014. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.