Demre

Demre ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Antalya kwenye kanda ya Mediteranea huko nchini Uturuki. Zamani ilijulikana kwa jina la Myra ikawa mji ambako Mtakatifu Nikolasi alikuwa askofu.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Demre kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/10/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.