Grammy Awards

Grammy Awards
Hutolewa kwa ajili ya Kufanya vizuri katika soko la muziki
Hutolewa na NationalARAAS
Nchi Marekani
Imeanza kutolewa mnamo 1958
Tovuti rasmi

Grammy Awards au Tuzo za Grammy (awali iliitwa Gramophone Awards)—au Grammys—hutolewa kila mwaka na National Academy of Recording Arts and Sciences ya nchini Marekani kwa ajili ya kazi zilizopata mafanikio makubwa katika soko la muziki. Sherehe hizi za ugawaji wa tuzo hushirikisha wasanii mashuhuri na wale machipukizi, na baadhi ya tuzo zao huwa maarufu na huonyeshwa katika matelevisheni mengi nchi nzima.

Makundi

Makundi makuu ya au jamii kuu za aina ya muziki ni nne.

Viungo vya Nje

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Grammy
Lists


Kigezo:Soko la muziki

This article is issued from Wikipedia - version of the 1/14/2015. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.