Hakkâri

Hakkâri ni jina la mji wa mbali huko kusini-mashariki mwa nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Hakkâri. Hadi leo hii mji una wakazi takriban 58,145 (sensa ya mwaka wa 2000).

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hakkâri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/9/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.