Kırşehir

Kırşehir, zamani uliitwa Macissus (pia iliandikwa Mocissus na Mokissus) na Justinianopolis, ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kırşehir. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji umekadiriwa kuwa na wakazi wapatao 115,078 ambao wengine 88,105 wanaishi katikati ya mji wa Kırşehir.[1][2] Mji upo mita 1,027 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Maelezo

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.

Marejeo

Vungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kırşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/11/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.