Konya

Konya (Kiosmani Kituruki: قونیه; pia Koniah, Konieh, Konia, na Qunia; kihistoria pia unajulikana kama Iconium (Kilatini), Kigiriki: Ἰκόνιον Ikónion) ni mji uliopo nchini Uturuki. Mji huu upo katikati ya mkoa wa Anatolia. Mji una wakazi wapatao 1,412,343 (kwa hesabu ya mwaka wa 2007). Mji upo mita 1,200 kutoka juu ya usawa wa bahari. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Konya.

Marejeo

  Viungo vya Nje

  Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Konya
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
  Je unajua kitu kuhusu Konya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
  Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
  Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  This article is issued from Wikipedia - version of the 3/14/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.