Mardin

Mardin
Nchi Uturuki
Mkoa Kusini-mashariki mwa Anatolia
Jimbo Mardin
Idadi ya wakazi (2000)
 - 705,098
Tovuti: http://www.mardin.bel.tr

Mardin (Kisyriaki:ܡܶܪܕܺܝܢ; inamaana ya "maboma") ni mji uliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mardin, unajulikana sana kwa ujenzi wake wa staili ya Kiarabu, na maeneo yake ya milima ya mawe inayoitazama Syria kwa upande wa kaskazini.[1] Mji wa Mardin una wakazi mchanganyiko, Waturuki, Wasyria, Waarabu na Wakurdi ambao wote wanawakilisha idadi kubwa ya watu.[2] Pia kuna idadi kiasi ya Waarmenia katika mji huu. Takriban watu 705,098 wanaoishi mjini hapa.

Maelezo

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Mardin
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mardin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/9/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.