Mazingira

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
mazingira

Mazingira kwa ujumla yanahusu eneo linalomzuguka kiumbe. Mazingira huweza kuundwa na vitu mbalimbali.

Pia mazingira haya tunayozungumzia yanaweza kuwa ya asili (kama misitu, milima, maziwa, mabonde, mito, bahari n.k.) au ya kutengenezwa na binadamu (kama majengo, viwanda n.k.).

Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huharibu mazingira kama vile uchafuzi wa hewa, uchafuzi wa bahari n.k.

Mazingira yanaweza kumaanisha:

Katika sayansi ya kompyuta:

Tazama pia

Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.

This article is issued from Wikipedia - version of the 11/2/2016. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.