Mersin

Mersin
Nchi Uturuki
Mkoa Mediterenea
Jimbo Mersin
Idadi ya wakazi (2007)
 - 2,275,216
Tovuti: Mersin

Mersin ni jiji kubwa na bandari yenye kazi nyingi ya nchini Uturuki. Jiji lipo katika pwani ya mjini kusini mwa Mediteranea. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mersin. Takriban watu 2,275,216 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 100 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Mersin
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/9/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.