Mkoa wa Burdur

Mkoa wa Burdur
Maeneo ya Mkoa wa Burdur nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediteranea
Eneo: 6,887 (km²)
Idadi ya Wakazi 246,134 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 15
Kodi ya eneo: 0248
Tovuti ya Gavana http://www.burdur.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/burdur

Burdur ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi ma nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Muğla na Antalya kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kaskazini, na Isparta kwa upande wa mashariki mwa nchi. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6,887 na jumala ya wakazi takriban 246,134. Mji mkuu wake ni jiji la Burdur.

Wilayaza mkoani hapa

Mkoa wa Burdur umegawanyika katika wilaya 11 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Burdur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/21/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.