Mkoa wa Hatay

Mkoa wa Hatay
Maeneo ya Mkoa wa Hatay nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediterranea
Eneo: 5,403 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,386,224 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 31
Kodi ya eneo: 0{{{kodi_ya_eneo}}}
Tovuti ya Gavana http://www.hatay.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/hatay

Hatay ni mkoa uliopo kusini mwa nchi ya Uturuki, katika pwani ya Mediteranea. Kwa upande wa kusini na mashariki mwa mkoa huu, unapakana na Syria. Mkoa unawakazi wapatao 1,386,224. Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,403.

Wilaya zake

Mkoa wa Hatay umegawanyika katika wilaya 12 (wilaya kubwa zimewekewa kukooza):

Marejeo

  Viungo vya Nje

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
  Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hatay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
  Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
  Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  This article is issued from Wikipedia - version of the 3/22/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.