Mkoa wa Kırklareli

Mkoa wa Kırklareli
Maeneo ya Mkoa wa Kırklareli nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 6,550 (km²)
Idadi ya Wakazi 326,950 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 39
Kodi ya eneo: 0288
Tovuti ya Gavana http://www.kırklareli.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kırklareli

Kırklareli ni jina la mkoa uliopo mjini kaskaini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa umepakana vilivyo na mapaka wa nchi ya Bulgaria kiasi cha kilomita 180 kutoka mkoani hapa. Unapaka na mkoa wa Edirne kwa upande wa magahribi na Tekirdağ kwa upande wa kusini na Istanbul kwa upande wa kusini-mashariki ya nchi. Kırklareli ndiyo mji wake mkuu wa mkoa huu.

Wilaya za mkaoni hapa

Mkoa wa Kırklareli umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kırklareli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/10/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.