Mwigizaji

Waigizaji wakiwa wanaigizia kucheka wakati wa utengenezaji wa filamu.

Mwigizaji ni mtu anayeigiza, au anapewa kijisehemu cha kuigiza katika filamu, tamthiliya, vipindi vya televisheni, mchezo, au mchezo wa redio. Kuna kipindi waigizaji huimba na kucheza, au kuna kipindi hufanyakazi katika maredio tu[1][2] .

Soma zaidi

Marejeo

  1. This is true whether the character than an actor plays is based on a real person or a fictional one, even themselves (when the actor is 'playing themselves,' as in some forms of experimental performance art, or, more commonly, as in John Malkovich's performance in the film Being John Malkovich); to act is to create a character in performance: "The dramatic world can be extended to include the 'author', the 'audience' and even the 'theatre'; but these remain 'possible' surrogates, not the 'actual' referents as such" (Elam 1980, 110).
  2. dictionary.com actor retrieved 13 Novemba 2007

Viuongo Maandishi ya italikivya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Mwigizaji
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Mwigizaji
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwigizaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 6/26/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.