Niğde

Niğde
Nchi Uturuki
Mkoa Anatolia ya Kati
Jimbo Niğde
Idadi ya wakazi (2005)
 - 99,308
Tovuti: www.nigde.gov.tr

Niğde ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Niğde huko nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi takriban 99,308 . Mji upo m 1,300 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Marejeo

  Viungo vya Nje

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
  Je unajua kitu kuhusu Niğde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
  Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
  Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  This article is issued from Wikipedia - version of the 3/9/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.