Ordu

Ordu ni jina la kutaja mji na bandari uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Ordu. Kiasili jina linamaa ya "jeshi" kwa Kituruki (lakini limetokana na Kiingereza cha kisasa yaani "horde"). Mji una wakazi takriban 136,000, kwa mujibu wa sensa walioifanya katika mwaka wa 2008. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article is issued from Wikipedia - version of the 3/11/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.