Trabzon

Baadhi ya maeneo ya mjini hapa.

Trabzon (Kiarmenia: Τραπεζούντα, Trapezounta) ni mji uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Trabzon. Mji wa Trabzon, ni mji wa kihistoria wa Barabara ya Hariri, na kuufanya uwe mji wa kidini, lugha na utamaduni uliodumu kwa makarne na ndiyo njia kuu ya kuelekea nchini Iran kwa upande wa kusini-mashariki, Urusi na Ukaukazi kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi. Wafanyabiashara wa Kiveneti na Kiwgenoa hulipa uzuru wa mjini hapa na kuweza kuuza bidhaa zao kama vile hariri, lainin na vivalo.

Tanbihi

12. See note 2. Also http://www.csmonitor.com/2007/0126/p06s01-woeu.html, http://www.nytimes.com/2007/02/08/world/europe/08turkey.html?ex=1328590800&en=b1c4ebf924e99da2&ei=5088&partner=rssnyt&emc=rss

Marejeo

  Viungo vya Nje

  Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Trabzon
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
  Je unajua kitu kuhusu Trabzon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
  Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
  Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

  [[ja:ƒgƒ‰ƒuƒ]ƒ“]]

  This article is issued from Wikipedia - version of the 3/11/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.