Yalova

Watalii wakiwa kwenye Mapolomoko ya Maji ya Sudüşen, karibu na Termal, Yalova

Yalova ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ua Bahari ya Marmara. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Yalova. Mji huu wa Yalova una wakazi takriban 70,858, wakati idadi ya wakazi wa Mkoa wa Yalova imekadiriwa kuwa ni 188,440.

Marejeo

  Viungo vya Nje

  Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Yalova
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
  Je unajua kitu kuhusu Yalova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
  Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
  Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  This article is issued from Wikipedia - version of the 3/11/2013. The text is available under the Creative Commons Attribution/Share Alike but additional terms may apply for the media files.